Psalms 55:10-11


10 aUsiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake,
uovu na dhuluma vimo ndani yake.

11 bNguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini,
vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.

Copyright information for SwhKC